1825; Watu Wepesi…

By | December 30, 2019
Changamoto zimekuwa nyingi na kuwasumbua wengi kwa sababu watu wengi kwa sasa ni wepesi mno. Ni watu ambao hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya maisha hasa ile ambayo mtu anapaswa kupitia kama anataka kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Watu wepesi wana tabia ya kutaka kuwabadili watu wawe kama wanavyotaka wao,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In