1833; Kazi Yako Ni Kufanya Kazi Yako…

By | January 7, 2020
Kama kazi yako haihusishi mitandao ya kijamii, kutumia mitandao wakati wa kazi ni kutoroka kazi yako. Kama kazi yako haihusishi matumizi ya simu, kutumia simu wakati wa kazi ni kutoroka kazi yako. Kama kazi yako haihusishi majungu na kufuatilia maisha ya wengine, kufanya mambo hayo wakati wa kazi ni kutoroka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz