1858; Je Ni Muhimu? Je Inaweza Kusubiri?

By | February 1, 2020
Maswali hayo mawili yatakuokoa na mambo mengi sana, kama utachukua muda wa kujiuliza kabla hujafanya maamuzi yoyote, hasa ya manunuzi. Hebu fikiria, umetoka nyumbani kwenda kwenye shughuli zako, hukupanga kununua chochote, lakini unarudi nyumbani una furushi kubwa la vitu ulivyonunua. Ukiulizwa kwa nini umenunua, utajibu ulikutana na ofa ambayo kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In