1874; Tengeneza Kabla Hujatumia…

By | February 17, 2020
Kanuni halisi za mafanikio zinaendana na kanuni za asili. Moja ya kanuni za asili ni kabla kitu hakijatumiwa, lazima kitengenezwe kwanza. Vitu huwa havitokei tu, vinafanyiwa kazi, vinatengenezwa kisha ndiyo vinatumiwa. Simba huwa halali tu halafu swala akajileta mwenyewe, anakwenda kuwinda mpaka anampata swala ndipo anakula. Asipowinda hapati swala na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In