1898; Swali Muhimu Kujiuliza Kabla Hujaendelea…

By | March 12, 2020
Mara kwa mara, acha kile unachofanya na jiulize ni nini hasa unachotaka kwenye hicho unachofanya. Ni rahisi sana kujisahau na kutoka nje ya mstari kama huna kitu cha kujipima mara kwa mara. Lakini unapoacha na kujiuliza, ni rahisi kujikamata pale unapokuwa umetoka nje ya mstari wa kile ulichokuwa umepanga kufanya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In