#TAFAKARI YA ASUBUHI; HATUA BORA KUCHUKUA…

By | April 15, 2020
“Our most important actions are those consequences which we will not see.” – Leo Tolstoy Hatua bora na muhimu sana kwako kuchukua ni zile ambazo matokeo yake hutayaona wala kunufaika nayo wewe binafsi. Kwa asili, sisi binadamu ni wabinafsi, huwa tunafanya kile kinachotunufaisha sisi kwanza kabla ya kufanya vitu vingine.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In