#TAFAKARI YA ASUBUHI; KINACHOWEZA KUFANYIKA MUDA WOWOTE…

By | May 11, 2020
Things that can be done at any time are often done at no time. Kitu kinachoweza kifanyika muda wowote, huwa hakipati muda wa kufanywa. Kitu kinachoweza kifanywa na mtu yeyote, huwa hakipati mtu wa kukifanya. Kitu kinachoweza kufanyika eneo lolote, huwa hakipati eneo la kufanyiwa. Hivi ni vitu vitatu muhimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In