1965; Majuto Na Wasiwasi…

By | May 18, 2020
Hakuna kitu chenye nguvu ya kujenga au kubomoa maisha yetu kama fikra na mtazamo ambao tunakuwa nao. Zile fikra ambazo unazipa nafasi na muda mrefu kwenye akili yako, ndiyo zinazoishia kuamua maisha yako yatakuwa ya aina gani. Chanzo kikuu cha wengi kukosa furaha kwenye maisha ni fikra na mitazamo ambayo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In