1970; Kuna Watu Watafurahia Kifo Chako…

By | May 23, 2020
Hata kama utakuwa mwema kwa kila mtu na kuwasaidia wengi uwezavyo, Hata kama utajali mambo yako na kutokujihusisha na yale yasiyokuhusu, Hata kama utawapa watu kila wanachotaka kutoka kwako, Bado kuna watu ambao watafurahia kifo chako. Siku utakayokufa, japo wengi watakulilia, lakini kuna ambao watafutahia wewe umekufa. Japo siyo wote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In