1979; Usiwe Rahisi, Kuwa Mbunifu…

By | June 1, 2020
Kwenye biashara, ni rahisi kila mtu kupunguza bei ya kile anachouza ili kuvutia wateja zaidi. Lakini mmoja akishapunguza, mwingine naye anapunguza. Hivyo mashindano yanakuwa ni nani anayeweza kuuza kwa bei rahisi zaidi. Wote mnaoshindana mnaishia kuumia, huku mteja akipata manufaa yote. Kama umeingia kwenye biashara kwa malengo ya muda mrefu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In