1983; Sijui Nifanye Nini?

By | June 5, 2020
Kama umwahi kujikuta njia panda, ukijiuliza ni nini unapaswa kufanya, jua kwamba kinachokukwamisha siyo kutokujua cha kufanya, bali utayari wako kwenye kukifanya. Katika kila hali unayopitia, unachopaswa kufanya ni kile sahihi kufanya. Na kwa kila hali, kuna vitu ambavyo ukifanya, haviwezi kuharibu chochote bali vitafanya hali yako iwe nzuri. Kwanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In