#TAFAKARI YA ASUBUHI; MANENO KIDOGO, KAZI ZAIDI…

By | July 16, 2020
“The less you speak, the more you will work.” – Leo Tolstoy Kuna sheria moja ya siri ambayo wawekezaji wakubwa wamekuwa wanaitumia. Sheria hiyo ni kwamba ukimuona mkurugenzi mkuu (CEO) au mwanzilishi (Founder) wa kampuni anaonekana akiongea sana kwenye vyombo vya habari, ni wakati wa kuondoa uwekezaji wako kwenye kampuni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In