2136; Chagua Utumwa Huu Utakaokunufaisha…

By | November 5, 2020
Utumwa hauwezi kuisha duniani, kila mtu ni mtumwa wa kitu fulani, iwe anajua au hajui. Ule utumwa wa kulazimishwa umeisha, ila utumwa wa kujitakia haujaisha. Kuna watu ambao ni watumwa wa pesa, wengine watumwa wa mapenzi, huku wengine wakiwa watumwa wa kazi zao na wengine wakiwa watumwa wa dini na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In