MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UTULIVU UPO KWENYE KUFANYA MACHACHE…
Dunia inatuhadaa na kutuonesha kwamba tunapaswa kufanya kila kinachokuja mbele yetu. Kwa kuwa ya kufanya ni mengi lakini muda wetu ni mchache, hilo huleta msongo. Kadiri unavyokazana kufanya mengi zaidi kwenye muda mchache ulionao, ndivyo unavyopatwa na msongo. Ili kupata utulivu, unapaswa kufanya machache. Katika mengi yanayokusonga, chagua machache muhimu