2296; Ukiweka Sifa Pembeni, Utafanya Makubwa.

By | April 14, 2021
2296; Ukiweka Sifa Pembeni, Utafanya Makubwa. Sisi kama binadamu tunasukumwa sana na sifa katika mengi tunayofanya. Tunapojua kuna fursa ya wengine kutukubali na kutusifia kwa kile tunachofanya, tunasukumwa zaidi kukifanya. Lakini ubaya wa kufanya kwa sifa ni unaweza kujikuta unafanya hata yasiyokuwa na manufaa kwa sababu tu unataka sifa. Ipo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In