#TAFAKARI YA LEO; KUTAKA KUBEMBELEZWA…

By | April 17, 2021
Kama unachotaka ni kubembelezwa, umeshapishana na mafanikio. Kama hutaki kabisa kuumia, huwezi kuyafikia mafanikio makubwa. Hatua ya kwanza ya kufanikiwa ni kusimama kwenye ukweli na ukweli huwa unaumiza. Uongo unaweza kukubembeleza, ila ni kwa muda tu, ukweli utakuumiza, lakini utakuweka huru. Mara zote simama kwenye ukweli, ndiyo njia pekee ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In