#TAFAKARI YA LEO; MWENYE MACHAGUO MENGI NDIYE MWENYE NGUVU…

By | April 26, 2021
Kama mtu ana kitu ambacho watu wengi wanakihitaji na hawawezi kukipata pengine, huyo ana nguvu ya kukiuza kwa namna anavyotaka yeye. Kama watu wanaweza kupata wanachotaka popote, wana nguvu ya kuchagua wakapate wanachotaka wapi. Mwenye machaguo mengi ndiye mwenye nguvu ya kuamua apate kiasi gani kwenye majadiliano yoyote yale. Kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In