#TAFAKARI YA LEO; KAMA HUWAAMBII WATAJUAJE?

By | May 10, 2021
Kama watu wanakufanyia vitu ambavyo vinakuudhi ni kwa sababu labda hawajui kama vitu hivyo vinakuudhi au wanafanya makusudi. Lakini kwa sehemu kubwa wanakuwa hawajui. Na wewe huwaambii, unategemea wawe wanajua wenyewe, kitu ambacho hakitokei. Chochote unachotaka watu wajue kuhusu wewe, waambie wewe mwenyewe. Ili wanapofanya tofauti na unavyotaka, ujue wazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In