#TAFAKARI YA LEO; USIHARAKISHE PASIPO NA UMUHIMU…

By | June 18, 2021
Huwa tunafikiri tutayafurahia maisha baada ya kupata vitu fulani au kufika hatua fulani. Tunaharakisha kufika huko na hatuipati hiyo furaha. Furaha haipo kwenye matokeo, bali kwenye mchakato. Hivyo unapaswa kuweka umakini wako kwenye kile unachofanya, kiwe ndiyo muhimu kabisa na kukipa muda wa kutosha. Kila unapochagua kufanya kitu, kinapaswa kuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In