#TAFAKARI YA LEO; GEUZA HOFU KUWA FURAHA…

By | July 11, 2021
Jamii imekutengenezs kuhofia mambo yasiyo na tija yoyote kwako. Mfano kuhofia wengine wanakuchukukiaje, kuhofia kukosolewa na hata kuhofia kupitwa na yanayoendelea kwenye mitandao. Hofu zote hizo hazina manufaa yoyote kwako. Ili kuziondoa zisiwe kikwazo, zigeuze kuwa furaha. Furahia pale wengine wanapokupinga au kukukosoa na kama ni watu sahihi jifunze kwao,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In