#TAFAKARI YA LEO; WATU WENYE CHUKI…

By | July 19, 2021
Ni watu ambao hupaswi kuwaruhusu wakusumbue kwa namna yoyote ile. Kwa sababu mtu akiwa na chuki na wewe, tayari ana chuki na yeye binafsi. Hakuna namna unaweza kumlazimisha anayekuchukia akupende, maana yeye mwenyewe hajipendi. Watu wanaojipenda hawana muda wa kuwa na chuki kwa wengine. Na watu wenye chuki, hawana manufaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In