#TAFAKARI YA LEO; MCHANGO WAKO KWENYE CHANGAMOTO…

By | July 20, 2021
Hakuna changamoto unayopitia ambapo wewe mwenyewe huna mchango katika kuisababisha au kuichochea. Kwa kila changamoto au magumu unayopitia, wewe una mchango. Hata kama unaona wengine ndiyo wanaohusika, kuna namna na wewe pia unahusika. Na uhusika wako mkuu huwa ni kukosa umakini kwenye kile unachofanya. Unapoweka umakini wako wote kwenye jambo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In