#TAFAKARI YA LEO; MAAMUZI NA MATOKEO…

By | July 26, 2021
Usiunganishe moja kwa moja maamuzi unayofanya na matokeo unayopata. Maamuzi sahihi yanabaki kuwa sahihi hata kama matokeo yake ni tofauti na ulivyotarajia. Usikimbilie kubadili maamuzi kwa sababu matokeo siyo mazuri, badala yake badili mbinu unazofanyia kazi. Kuwa na mchakato wa kufikia maamuzi sahihi na pia kuwa na mchakato wa kufanyia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In