#TAFAKARI YA LEO; MAWAZO MAZURI NI YA WOTE…

By | August 20, 2021
Kila mawazo mazuri unayoyapata, huwi umeyapata wewe tu, bali wengine pia wanakuwa wameyapata. Unapochelewa kufanyia kazi mawazo mazuri unayoyapaga, unatoa mwanya kwa wengine kuyafanyia kazi na kunufaika nayo zaidi. Usitunze mawazo mazuri kwa ajili ya baadaye, badala yake yafanyie kazi, maana unapochelewa ndiyo unazidi kuyakosa mawazo hayo mazuri. Ukurasa wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In