#SheriaYaLeo (15/366); Acha Kusudi Likuongoze.

By | November 15, 2021
#SheriaYaLeo (15/366); Acha Kusudi Likuongoze. Kitu muhimu ambacho watu wengi wanakikosa kwenye zama tunazoishi sasa ni kusudi kubwa la maisha yao. Kipindi cha nyuma watu walipewa kusudi la maisha na dini au jamii zao. Kwa sababu kipindi hicho dini na jamii zilikuwa na nguvu kubwa ya kuwaamulia watu maisha yao.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In