#SheriaYaLeo (80/366); Ubongo wa mbobezi.

By | January 19, 2022
Wakati wa kujifunza na kufanya kitu kipya, mishipa mingi ya fahamu huwa inazaliwa kwenye ubongo wa mbele. Mishipa hiyo ndiyo inayotuwezesha sisi binadamu kujifunza na kufanya mambo mapya. Wakati huo wa kujifunza ubongo huwa na kazi nyingi, huwa katika hali ya msongo. Lakini kitu kikisharudiwa rudiwa kwa muda mrefu, kinakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In