#SheriaYaLeo (135/366); Wajue viongozi wanaopenda kutukuzwa.

By | March 15, 2022
#SheriaYaLeo (135/366); Wajue viongozi wanaopenda kutukuzwa. Katika safari yako ya maisha na mafanikio utapita maeneo mbalimbali. Kwenye baadhi ya maeneo utakutana na viongozi ambao wanapendwa kutukuzwa. Viongozi hao huamini hawawezi kukosea. Huona kila wanachofikiri wao ndiyo sahihi zaidi na wengine wote wanakubaliana nao. Kufikiri tofauti na wao wanachukulia kama usaliti

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In