2648; Kama inabidi uwatishie siyo sahihi kwako.

By | April 1, 2022
2648; Kama inabidi uwatishie siyo sahihi kwako. Kama inabidi uwatishie watu ndiyo wafanye kile wanachopaswa kufanya, basi jua hao siyo watu sahihi kwako. Kama umempa mtu kazi, lakini haifanyi mpaka umtishie kumfukuza au kutokumlipa siyo mtu sahihi kwako. Kama kuna mtu unashirikiana naye, lakini hatekelezi wajibu wake mpaka umlazimishe au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In