#SheriaYaLeo (177/366); Tengeneza hali ya usiri.

By | April 26, 2022
#SheriaYaLeo (177/366); Tengeneza hali ya usiri. Watu wanapoelewa na kuzoea mtu au kitu huwa wanakidharau. Hiyo ni kwa sababu hakuna chochote kinachokuwa kinawasukuma kufuatilia ili kujua zaidi. Kama unataka watu wakufuatilie, tengeneza hali ya usiri. Fanya mambo ambayo watu hawayaelewi au hawawezi kuyaelezea. Kuwa na mwonekano wa tofauti ambao watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In