#SheriaYaLeo (208/366); Jua wakati sahihi wa kupotea.

By | May 27, 2022
#SheriaYaLeo (208/366); Jua wakati sahihi wa kupotea. Ili kuwa na ushawishi mkubwa kwa watu, hupaswi kupatikana wakati wote. Kuna wakati unapaswa kupotea na usipatikane kabisa. Pale watu wanapojua unapatikana muda wote wanakuchukulia poa, maana wanajua upo tu. Lakini pale unapopotea, tena bila ya taarifa ndiyo watu wanashtuka kwa kuwa hawakutegemea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In