#SheriaYaLeo (215/366); Tumia hali yao ya ushindani.

By | June 3, 2022
#SheriaYaLeo (215/366); Tumia hali yao ya ushindani. Sisi binadamu huwa tuna hali ya ushindani ndani yetu. Huwa hatupo tayari kuona wengine wanatushinda kwenye kitu fulani, hata kama ni kidogo kiasi gani. Ili kuwashawishi wengine, tumia hali yao ya ushindani. Waweke kwenye hali ambayo wanashindana na watu wengine na hawatakubali kushindwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In