#SheriaYaLeo (218/366); Shinda kwa kutumia vitendo na siyo maneno.

By | June 6, 2022
#SheriaYaLeo (218/366); Shinda kwa kutumia vitendo na siyo maneno. Watu wengi huwa wanakazana sana kutumia maneno kwenye kuwashawishi wengine. Lakini watu huwa ni wagumu sana kushawishika na kubadilika kwa kutumia maneno. Kwa watu, matendo yana nguvu na ushawishi mkubwa kuliko maneno. Hivyo pale inapowezekana kutumia vitendo, usihangaike sana na maneno.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In