#SheriaYaLeo (222/366); Waonjeshe dawa yao wenyewe.

By | June 10, 2022
#SheriaYaLeo (222/366); Waonjeshe dawa yao wenyewe. Kama ambavyo tumeshaona, mabishano huwa hayafanyi kazi. Kuwaambia watu kile wanachokosea hakuwafanyi wajirekebishe. Badala yake watajitetea na kuendelea kukifanya. Njia bora ya kuwapa funzo ili wabadilike ni kuwaonjesha dawa yao wenyewe. Hapo unachofanya ni kuwafanyia kile ambacho wamekufanyia wewe, kwa namna ambavyo wamekifanya. Unakifanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz