#SheriaYaLeo (230/366); Tumia utani kushawishi.

By | June 18, 2022
#SheriaYaLeo (230/366); Tumia utani kushawishi. Mabishano ni sumu kubwa kwenye ushawishi. Ukishaingia kwenye ubishani unaishia kutengeneza adui na hivyo inakuwa vigumu kumshawishi mtu. Ipo njia bora ya kuwashawishi watu ambayo ni kutumia utani. Pale watu wanapotoa shutuma kuhusu wewe, badala ya kuanza kwa kuwashambulia, unaanza na utani kwanza. Utani huo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In