#SheriaYaLeo (246/366); Dhibiti mchezo mzima.

By | July 4, 2022
#SheriaYaLeo (246/366); Dhibiti mchezo mzima. Maisha ni kama mchezo wa drafti. Anayefanikiwa ni yule anayekuwa na udhibiti kwenye mchezo mzima. Kila kete inachezwa kwa kusudi maalumu, ambalo ni kupata ushindi mkubwa baadaye. Hivyo ndivyo maisha yanavyokuwa. Hakun hatua yoyote inayochukuliwa kwa kubahatisha. Badala yake kila hatua inakuwa imepimwa na kupangiliwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In