#SheriaYaLeo (260/366); Waondoe kwenye upande hasi.

By | July 18, 2022
#SheriaYaLeo (260/366); Waondoe kwenye upande hasi. Ni rahisi kukaa upande hasi kuliko upande chanya. Ni rahisi kukosoa watu kuliko kuwasifia. Ndiyo maana watu wengi huwa wanakimbilia kwenye huo upande hasi. Inahitaji jitihada kubwa kukaa upande chanya na kueleza ubora wa kitu. Ni rahisi kukaa upande hasi na kuonyesha udhaifu wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In