#SheriaYaLeo (293/366); Wakubali watu kama walivyo.

By | August 20, 2022
#SheriaYaLeo (293/366); Wakubali watu kama walivyo. Kuchangamana na watu wengine ndiyo moja ya chanzo kikuu cha matatizo ya kihisia, lakini haipaswi kuwa hivyo. Tatizo ni kwamba huwa tunawahukumu watu mara zote, tukitamani wangekuwa tofauti na walivyo. Huwa tunataka kuwabadili watu, tukitaka wafikiri na kufanya kama sisi. Lakini hilo huwa haliwezekani,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In