#SheriaYaLeo (302/366); Sogelea unachokionea wivu.

By | August 29, 2022
#SheriaYaLeo (302/366);Sogelea unachokionea wivu. Watu huwa wana tabia ya kuficha matatizo yao na kuonyesha nyuso zenye furaha. Tunachoona na kusikia kwa watu ni habari njema na ushindi. Hilo huwa linajenga hali ya wivu kwetu, kwa kuona wengine wapo pazuri kuliko pale tulipo sisi. Lakini kama tutawasogelea karibu hao tunaowaonea wivu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In