#SheriaYaLeo (362/366); Penda asili.

By | October 28, 2022
#SheriaYaLeo (362/366); Penda asili. Kuna mambo mengi kwenye maisha yetu ambayo hayapo ndani ya udhibiti wetu. Tunakutana na maumivu, magonjwa, kutengana na hata kifo. Tunakutana na magumu, changamoto na hata kushindwa kwenye mambo mangi ambayo tunapanga kufanya. Tunaweza kufanya kila kitu kwa usahihi kabisa lakini bado tukakutana na hali hizo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In