2877; Kusema na kufanya.

By | November 16, 2022
2877; Kusema na kufanya. Kwako rafiki yangu ambaye huwa unawaamini watu haraka kwa maneno yao. Unapaswa ukumbuke kwamba maneno siyo vitendo. Kusema ni rahisi, kufanya ni ngumu. Hivyo wengi wameishia kuwa wasemaji wenye ahadi nyingi, lakini zisizotekelezwa. Kupunguza upotevu wa muda wako wa thamani kwa kujihusisha na watu wasio sahihi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In