MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2955; Kupendwa au kuheshimiwa?
2955; Kupendwa au kuheshimiwa?Rafiki yangu mpendwa,Wajibu wetu wa kwanza kama viongozi kwenye biashara zetu ni kuwafanya watu wafanye vitu ambavyo hawataki kufanya, lakini vyenye manufaa kwao.Na hilo halitakuweka kwenye nafasi ya kupendwa sana na watu hao unaowaongoza, kwa sababu utakuwa unawasukuma kuondoka kwenye mazoea.Hakuna kitu kinachowafanya watu wajisikie vizuri kama