2970; Kosa la uzururaji.

By | February 17, 2023
2970; Kosa la uzururaji.Rafiki yangu mpendwa,Kipindi nikiwa mdogo, nilikuwa nashangaa sana pale niliposikia kuna watu wamekamatwa na posili kwa kosa la uzururaji.Nilikuwa nashangaa mtu mzima anazururaje.Maana nilizoea unapoambiwa acha kuzurura, maana yake ni uache kwenda kila mahali na kutulia sehemu moja.Baadaye nilikuja kujifunza kwamba kumbe uzururaji siyo tu kuzunguka kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz