Karibu kwenye jamii ya tofauti ya Kisima Cha Maarifa.

By | October 27, 2023

⭐️KARIBU KWENYE JAMII YA KISIMA CHA MAARIFA.

Habari Rafiki,

Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye jamii ya tofauti ya KISIMA CHA MAARIFA.

Hii ni jamii ya watu walioamua kushika hatamu ya maisha yao na kujenga maisha ya mafanikio makubwa.

Kupitia jamii hii, watu wanajifunza kwa kupata maarifa sahihi na kuchukua hatua ili kupata mafanikio.

Msingi mkuu wa KISIMA CHA MAARIFA ni MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Ndani ya jamii ya KISIMA CHA MAARIFA tunashirikiana kwa karibu kwenye kujifunza na kuchukua hatua ili kujenga maisha ya mafanikio makubwa.

👉VIGEZO VYA KUWA KWENYE KISIMA CHA MAARIFA.

Ili kuwa ndani ya jamii hii ya KISIMA CHA MAARIFA, unapaswa kutimiza vigezo hivi vitano;

1. Kuwa na vitabu angalau 10 vilivyoandikwa na Kocha Dr. Makirita Amani.

2. Kuwa mwanachama hai wa klabu za KISIMA CHA MAARIFA zilizopo kwenye kila mkoa.

3. Kushirikiana vizuri na wanachama wengine kuanzia kwenye kundi la mafunzo mpaka kwenye klabu.

4. Kufuata taratibu zote za jamii ya KISIMA CHA MAARIFA na klabu ambayo mtu upo.

5. Kutokutumia fursa ya kuwa kwenye jamii ya KISIMA CHA MAARIFA kuwarubuni, kuwalaghai, kuwaibia au kuwatapeli wanachama wengine.

👉KUJIUNGA.

Kama umekidhi vigezo na upo tayari kutoa ushirikiano unaohitajika kwenye jamii ya KISIMA CHA MAARIFA, karibu uungane nasi.

Kujiunga na jamii hii BONYEZA MAANDISHI HAYA.

Karibu sana tushirikiane pamoja kujenga maisha ya mafanikio makubwa.

Wanachama wa KISIMA CHA MAARIFA kwenye semina ya mwaka 2023 iliyofanyika Mbeya Tanzania.⭐️ORODHA YA VITABU VYA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI.

Habari Rafiki,

Ifuatayo ni orodha ya vitabu vya Kocha Dr. Makirita Amani ambapo unapaswa kuwa navyo angalau 10 ili kuwa kwenye huduma ya KISIMA CHA MAARIFA.

Kama hujatimiza idadi ya vitabu 10, pitia orodha hii na chagua vitabu ambavyo huna ili uweze kuvipata na kutimiza vigezo vya uanachama wa KISIMA CHA MAARIFA.

Karibu.

1. CHUO CHA MAUZO- Utakipata Kwa Tshs 29,999Tu.

2. ELIMU YA MSINGI YA FEDHA. Utakipata Kwa TSH 19,999TU!

3. ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA. Utakipata Kwa TSH 19,999TU!

4. BIASHARA NDANI YA AJIRA. Utakipata Kwa TSH 19,999TU!

5. EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI, Utakipata Kwa TSH 19,999TU.

6. TABIA ZA KITAJIRI- Utakipata Kwa Tshs 19,999Tu!

7. UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA- Utakipata Kwa Tshs 19,999Tu.

8. MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO- Utakipata Kwa Tshs 29,999Tu.

9. MJASIRIAMALI MJANJA- Utakipata Kwa Tshs 29,999Tu.

10. KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO- Utakipata Kwa Tshs 19,999Tu.

11. Kitabu; MTAALA WA UTAJIRI. Utakipata Kwa Tshs 29,999Tu.

12. Kitabu; MAUZO NI RAHA.

Utakipata Kwa Tshs 19,999Tu.

13. Kitabu; MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA.

Utakipata Kwa Tshs 19,999Tu.

Kupata vitabu ambavyo huna, wasiliana na namba 0752977175 kukamilisha malipo na kupata vitabu vyako.

Karibu sana.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana.

Kocha Dr. Makirita Amani

www.kisimachamaarifa.co.tz

MUHIMU; Karibu ujiunge na jamii ya tofauti ya KISIMA CHA MAARIFA kwa KUBONYEZA MAANDISHI HAYA.

Karibu sana tushirikiane pamoja kujenga maisha ya mafanikio makubwa.

Category: KUTOKA KWA KOCHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.