MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3310; Msukumo wa kufanya.
3310; Msukumo wa kufanya.Rafiki yangu mpendwa,Huwa kuna kauli inayosema hatima ya yai ni kuvunjika.Na matokeo ya kuvunjika kwa yai huwa yanategemea chanzo cha nguvu ya kuvunja yai hilo.Kama yai litavunjwa kwa nguvu inayotoka nje, huwa ni mwisho wa uhai wake.Lakini kama yai litavunjwa kwa nguvu inayoanzia ndani, huwa mwisho wake