Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA ASUBUHI; NJIA PEKEE YA KUTOKUWA NA ADUI…

By | March 16, 2020

“If you love your enemies, you will have no enemies.” – Leo Tolstoy Njia pekee ya kutokuwa na adui kwenue maisha yako ni kuwapenda maadui zako. Kwa kuanza kabisa, mpende kila mtu na hutakuwa jata na adui wa kumpenda. Kwa sababu unampenda kila mtu, hupati nafasi ya kumweka yeyote kwenye (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO MWISHO WA DUNIA…

By | March 15, 2020

Ugonjwa wa mafua makali unaosababishwa na vizuri vya Corona unaoendelea kwa sasa duniani, siyo mwisho wa dunia. Licha ya nchi nyingi kufunga kabisa shughuli zote za mikusanyiko na kuzuia safari za kuingia au kutoka kwenye nchi hizo, siyo mwisho wa dunia. Dunia imewahi kupitia hali za hatari kuliko hii tunayopitia (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; TUMIA KILICHOPO…

By | March 11, 2020

“If you accept the obstacle and work with what you’re given, an alternative will present itself—another piece of what you’re trying to assemble.” – Marcus Aurelius Usisubiri mpaka upate kila unachotaka ndiyo uanze kufanya ulichopanga kufanya, Badala yake tumia kile kilichopo, kile ulichonacho sasa na anza. Uzuri ni kwamba, ukishaanza (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SOTE NI KITU KIMOJA…

By | March 10, 2020

“Nature created us related to each other, from the same material, for the same purpose. Because of this, somewhere within all of us is mutual love for each other.” —LUCIUS ANNAEUS SENECA Sisi sote ni kitu kimoja, Tuna umoja na viumbe wote waliopo duniani. Wote tunategemeana ili maisha yaweze kwenda (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ANAYEWEZA KUTOKOMEZA NI ANAYEUMIA…

By | March 9, 2020

“War in this world can be stopped not by the ruling establishment, but by those who suffer from the war. They will do the most natural thing: stop obeying orders.” – Leo Tolstoy Pale ambapo kuna mambo yasiyo mazuri yanayoendelea, anayeweza kutokomeza siyo yule anayefanya mambo hayo, bali yule anayefanyiwa (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ZIMA HALAFU UWASHE…

By | March 8, 2020

“Almost everything will work again if you unplug it for a few minutes, including you.” – Anne Lamott Kama umewahi kutumia kifaa chochote cha kielektroniki, iwe ni simu, tv, kompyuta, redio n.k, unajua pale kifaa hicho kinapokusumbua, hatua ya kwanza ni kukizima na kuwasha. Yaani ku RESTART. Kabla hujakipekela kifaa (more…)