Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA USIKU; AKILI NI KUSAKA HEKIMA…

By | January 24, 2020

A wise man seeks wisdom; a madman thinks that he has found it. —PERSIAN PROVERB Werevu hutafuta hekima mara zote, Lakini wapumbavu huamini tayari wanajua kila kitu. Kuna vitu vingi sana vya kujua, hivyo mwerevu anajua hawezi kujua vyote. Hilo linamfanya awe mnyenyekevu na tayari kujifunza wakati wote na kutoka (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO ULIPO SASA, BALI UNAKOKWENDA…

By | January 24, 2020

“It is not the place we occupy which is important, but the direction in which we move.” —OLIVER WENDELL HOLMES Tumeipata nafasi nyingine nzuri na ya kipekee sana kwetu, Tunapaswa kwenda kuitumia siku hii vyema ili kuweza kufanya makubwa na kupata matokeo bora sana. Kilicho muhimu kwako siyo pale ulipo (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; UBAYA UNAKUTAFUNA MWENYEWE…

By | January 23, 2020

“An evil person damages not only others but himself.” —After SOCRATES Unaweza kufanya ubaya kumlenga mtu mwingine, lakini jua kwamba ubaya huo utakuwa na madhara kwako kuliko kwa unayemfanyia. Kadhalika kwa yule anayekufanyia ubaya, tambua unamdhuru zaidi yeye mfanyaji kuliko wewe mfanyiwaji. Kwa kujua hili, tujiepushe kuwafanyia wengine mabaya, Na (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; WATU WA KUJIHUSISHA NAO…

By | January 22, 2020

“Associate with people who are likely to improve you.” — Seneca Unapaswa kujihusisha na watu ambao wanakufanya kuwa bora zaidi ya ulivyo sasa. Watu ambao wabakuonesha kipi sahihi cha kufanya, Wanaokuambia ni vitabu gani vizuri ufanye, Wanaokupa mawazo mazuri ya kupiga hatua, Na wasioogopa kukuambia pale unapokosea. Unapaswa kuwaepuka watu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KUFANIKIWA, KOSEA ZAIDI.

By | January 21, 2020

“Would you like me to give you a formula for success? It’s quite simple, really. Double your rate of failure.” —THOMAS J. WATSON Kama unataka kufanikiwa zaidi ya pale ulipo sasa, unapaswa kukosea zaidi ya ulivyokosea huko nyuma. Kukosea ni ishara kwamba unajaribu vitu vipya na vikubwa. Kama hukosei maana (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; SIYO WEWE UNAYEAMUA KESHO YAKO…

By | January 20, 2020

“People do not decide their futures, they decide their habits and their habits decide their futures.” – F.M. Alexander Huwa tunajiambia na kuamini kwamba sisi ndiyo waamuzi wa kesho yetu. Lakini huo siyo uhalisia, siyo sisi ambao tunaamua kesho yetu, bali ni tabia zetu ndiyo zinaamua kesho hiyo. Ukijijengea tabia (more…)