Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

WORLD CLASS; Mafanikio Hayaji Kwa Kuzitafuta Fedha, Bali Kwa Kufanya Jambo Hili Muhimu.

By | June 10, 2015

Swali muhimu sana ambalo kila mmoja wetu anayetafuta mafanikio anatakiwa kujiuliza ni je kwa nini nayataka mafanikio? Kwa nini nafanya ninachofanya? Kwa nini wenzangu wanapokula raha mimi bado naendelea na kazi zangu? Kwa nini wengine wanapokuwa wamelala, mimi naamka na kuanza kujiandaa kuikabili dunia? Haya ni maswali muhimu sana kila (more…)

SHUKRANI; Uhusiano Kati Ya Tabia Ya Shukrani Na Mafanikio Makubwa.

By | June 9, 2015

Mpenzi msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA, bado tunaendelea kujifunza tabia ya shukrani katika kipengele hiki cha kujijengea tabia za mafanikio. Baada ya kuona umuhimu na jinsi ya kujijengea tabia ya shukrani, leo tutaona uhusiano kati ya tabia ya shukrani na mafanikio makubwa. Kama unavyojua, lengo la KISIMA CHA MAARIFA ni (more…)

Sababu Kumi(10) Kwa Nini Uendelee Kubaki Kwenye Ajira Kwa Muda Kabla Ya Kujitosa Moja Kwa Moja Kwenye Ujasiriamali.

By | May 20, 2015

Leo naomba niongee na wasomaji wa KISIMA CHA MAARIFA  ambao bado wapo kwenye ajira ila haziwaridhishi na wanataka kuingia kwenye biashara au ujasiriamali. Kwanza nikupongeze sana kama wewe ni mmoja wa watu hawa ambao wanaona kazi pekee haitawawezesha kufikia yale mafanikio makubwa waliyopanga kufikia. Pamoja na ajira kutokuweza kukufikiahsa katika (more…)

SHUKRANI; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Shukrani.

By | May 5, 2015

Karibu kwenye kipengele hiki cha kujijengea tabia za mafanikio ambapo mwezi huu tunaendelea na kujijengea tabia ya shukrani. Tabia ya kushukuru ni moja ya tabia zinazoweza kumpatia mtu furaha na kumwezesha kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha. Hii ni tabia ambayo kwa kuwa nayo inakufungulia milango mingi ya fursa ambazo unaweza (more…)

SHUKRANI; Faida Za Kujijengea Tabia Ya SHUKRANI.

By | April 15, 2015

Karibu kwenye kipengele hiki cha kujijengea tabia za mafanikio. Hizi ni tabia muhimu sana kwa kila mmoja wetu ili kuweza kufikia mafanikio makubwa. Kama ambavyo wote tunajua, kila kitu kinaanza na tabia, hivyo unavyojenga tabia bora unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwez akuboresha maisha yako. Mwezi huu wa nne tunajijengea (more…)

Mambo Kumi Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Matumizi Yako Ya Fedha Ili kuweza Kufiki Uhuru Wa Kifedha.

By | April 8, 2015

Katika makala za nyuma hapa kwenye KISIMA CHA MAARIFA kwenye kipengele cha kujijengea tabia za mafanikio tumeshajadili sana kuhusu matumizi mazuri ya fedha. Tulijadili mengi sana na hatua kwa hatua jinsi ya kuongeza kpato, jinsi ya kupunguza matumizi na hata jinsi ya kuwekeza ili fedha zako ziweze kukuzalia zaidi na (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Kujijengea Tabia Ya Shukrani.

By | April 7, 2015

Habari za leo msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA, karibu kwenye kipengele hiki cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Kupitia kipengele hiki tunajifunza tabia mbalimbali ambazo ni muhimu sana wewe kuwa nazo ili kuweza kufikia mafanikio. Kama wote tunavyojua ni kwmaba tunajenga tabia halafu baadae tabia zinatujenga. Tatizo kubwa tulilonalo (more…)

KIPAUMBELE; Uhusiano Kati Ya Mafanikio Makubwa na Kuweka Kipaumbele.

By | March 31, 2015

Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita kwenye tabia hii ya kujiwekea kipaumbele, kuba faida nyingi sana za kujiwekea kipaumbele kwenye maisha yako. Tuliona jinsi ambavyo dunia ya sasa imejaa kelele nyingi hivyo kama hujachagua kitu kimoja cha kufanya utajikuta unafanya kila kinachojitokeza mbele yako. Leo katika makala hii kwenye kipengele hiki (more…)

WORLD CLASS; Sifa 11 Za Mafanikio Kwenye Uongozi.

By | March 25, 2015

Kama unataka kufikia mafanikio makubwa sana kw akiwango cha world class kwanza kabisa unahitaji kuwa kiongozi mzuri. Kiongozi sio lazima uwe kwenye siasa, bali biashara unayofanya unahitaji kuwa kiongozi ili uweze kufanikiwa sana. Unahitaji kuweza kuwaongoza mbali mbali ili kuweza kuifikisha biashara yako ngazi za juu sana. Leo hapa tutajifunza (more…)

KIPAUMBELE; Tabia zinazoharibu kipaumbele chako kwenye maisha.

By | March 24, 2015

Pamoja na umuhimu mkubwa wa kuwa na kipaumbele kwenye maisha, bado watu wengi sana hawana kipaumbele au hata kama wakiwa nacho wanashindwa kukitekeleza. Kuna changamoto nyingi sana zinazowafanya watu kushindwa kuweka kipaumbele au kushindwa kufanyia kazi kipaumbele walichoweka. Na changamoto hizi zinaanzia kwenye tabia ambazo mtu anakuwa nazo. Katika makala (more…)