#SheriaYaLeo (13/366); Bobea kwenye vitu vidogo.
#SheriaYaLeo (13/366); Bobea kwenye vitu vidogo. Pale unapokuwa umekabiliwa na mapungufu badala ya uimara, huu ndiyo mkakati unaopaswa kufanyia kazi; puuza udhaifu wako na kataa ushawishi wa kutaka kuwa kama wengine. Badala yake weka juhudi zako zote kwenye vitu vidogo vidogo ambavyo uko vizuri katika kuvifanya. Usihangaike na mambo makubwa (more…)
