Tag Archives: TAFAKARI YA LEO

TAFAKARI YA LEO; Urefu Wa Muda Sio Mrefu.

By | March 20, 2015

Utaanza lini kutekeleza mipango mizuri uliyoweka? Muda sio mrefu. Karibu kila mmoja wetu ameshaingia kwenye mtego huu, wa kufikiria muda sio mrefu. Lakini swali la msingi ni urefu wa muda sio mrefu ni upi? Yaani unaposema muda sio mrefu, kiuhalisia unamaanisha nini? Kesho? Wiki ijayo? Mwezi ujao? Mwaka ujao? Kulingana (more…)