2366; Mtu Sahihi Wa Kusikiliza Ukosoaji Wake

By | June 23, 2021
2366; Mtu Sahihi Wa Kusikiliza Ukosoaji Wake Kwako… Kitu chochote kile utakachofanya kwenye maisha yako, kuna watu watakukosoa. Watu watachagua kuwa na maoni kuhusu wewe kwa namna wanavyotaka wao wenyewe na siyo unavyotaka wewe. Ukisema umsikilize kila mtu au kutaka kumridhisha kila mtu, hutaweza kufanya kitu chochote kikubwa kwenye maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In